.Saa 6 zilizopita
Mgombea wa kiti cha
urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump
Mgombea wa kiti cha
urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump, amesema
mauaji ya watu 50 katika baa moja ya wapenzi wa jinsia moja huko Orlando
inathibitisha msimamo wake kwamba waislamu wapigwe marufuku kukanyaga
ardhi ya Marekani.
Trump amemkashifu mpinzani wake wa chama cha
republican Bi Hillary Clinton, kwa kutodadisi sababu za mtu huyo kutenda
mauaji hayo. Trump amesema hatua kali zinapaswa kuchukuliwa dhidi ya waislamu
Upande wa Bi Clinton wakitoa risala za pole kwa
waathiriwa wa mkasa huo papo hapo wamemtaja Trump kama mtoto anaejitweza
ovyo kwa jinsi anavyougeuza mkasa huo wa kitaifa kujipongeza binafsi. Wakati huo huo Shirika la kijasusi la FBI limesema
mtu aliyewaua watu 50 kwa kuwafyatulia risasi katika klabu moja ya
wapenzi ya jinsia alikiri kuunga mkono kundi la kigaidi la IS.
Wakati huo huo Shirika la kijasusi la FBI limesema
mtu aliyewaua watu 50 kwa kuwafyatulia risasi katika klabu moja ya
wapenzi ya jinsia alikiri kuunga mkono kundi la kigaidi la IS. Watu 50 waliuawa katika shambulizi la risasi
Fbi wameongeza kusema kuwa wamekuwa wakimfanyia
uchunguzi mtu huyo Omar Mateen tangu 2013 baada ya kutoa matamshi ya
chuki akiwa kazini . Trump amemkashifu mpinzani wake Hillary Clinton kwa utepetevu
Babake Mateen amesema anaamini kitendo alichokifanya
wanawe kilitokana na msukumo wa hisia zake dhidi ya wanaondeleza
mapenzi ya jinsia moja na wala si kwa sababu za kidini.
Naye mkewe
wa zamani Sitora Yusufiy, amemwelezea Mateen kama mtu wa aliyekuwa
tabia za kigomvi na kutaka kupiga watu lakini hakuwa na itikadi kali za
kidini.
Chanzo BBC BOFYA PICHA HAPA CHINI UONE PICHA ZA UCHI BONGO HASA USWAZI
DON'T FORGET TO LIKE THE PAGE IN ORDER TO GET NEWS UPDATES HAPPEN AROUND THE WORLD
Chapisha Maoni