Muhubiri mmoja wa kiislamu ambaye alisema kwamba wapenzi wa jinsia moja wanafaa kuuawa ameondoka nchini Australia.
Kiongozi
huyo ambaye ni mzaliwa wa Uingereza Farrokh Sekaleshfar alikuwa mwalimu
katika shule moja karibu na Orlando ,Florida mnamo mwezi Aprili an
alinukuliwa akitoa matamshi hayo siku moja kabla ya shambulio la
Orlando.Alikuwa amezuru Australia kama mgeni wa Imam Hussein wa kituo cha kiislamu cha Sidney.
Vyombo vya habari viliripoti siku ya Jumatano kwamba Sheikh Sekaleshfar aliondoka nchini humo baada ya waziri mkuu Malcom Turnbull kutaka visa yake ichunguzwe.

Lakini bw Dutton ametetea idara yake dhidi ya madai kwamba visa ya kiongozi huyo wa dini haifai kuidhinishwa.
Chanzo BBC
BOFYA PICHA HAPA CHINI UONE PICHA ZA UCHI BONGO HASA USWAZI
Chapisha Maoni