Home » Posts filed under MUZIKI
Hii sifa sasa......Mwanamuziki Young Killer Nae Kusaini WCB? Hili Ndio Jibu Lake
Hivi karibuni kulizuka tetesi kuwa huenda Young Killer akawa msanii mwingine atakayeungana na timu ya WCB.
Hatari hii isome Babu Tale Alimtelekeza Chidi Benz Sobber House - Mkuu wa Kituo
Anasema tangia Chidi apelekwe pale hakukuwa na huduma zozote zinazotumwa kama walivyokubaliana na kila walipokuwa wanamtafuta Babu Tale hakuwa tayari kupokea simu wala kutoa ushirikiano.
Anasema pia kukosekana kwa vitu muhimu ndio vilifanya Chidi aondoke na wala hakutoroka.
Japo Sijajua ni vitu gani walikubaliana awe anapeleka.
My take, kama ni kweli hii ishu basi Tale amekosea sana hakufanya uungwana. Ni kama kamtumia Chidi kupata kick.


