Wachimbaji wote wa
mgodi wameokolewa baada ya mgodi kuporomoka katika eneo la Nyarugusu
wilayani Geita kaskazini mashariki mwa Tanzania.
Jumla ya wachimbaji 15 wa mgodi walikuwa ndani ya mgodi huo akiwemo raia mmoja wa China wakati uliporomoka.
Juhudi za kuwaokoa wachimbaji hao zimekuwa zikifanyika tangu wafukiwe usiku wa kuamkia Januari 26..
Wafanyakazi 15 wa mgodi waokolewa Tanzania
Wafanyakazi 15 wa mgodi waokolewa Tanzania
Wafanyakazi 15 wa mgodi waokolewa Tanzania
BOFYA PICHA HAPA CHINI UONE PICHA ZA UCHI BONGO HASA USWAZI
DON'T FORGET TO LIKE THE PAGE IN ORDER TO GET NEWS UPDATES HAPPEN AROUND THE WORLD
Chapisha Maoni