Mtu mmoja anaripotiwa kuuawa Kisumu
Waandamanaji wa
upinzani nchini Kenya wamefunga barabara kwa kuchoma magurudumu katika
mji wa Kisumu ulio magharibi mwa nchi hiyo.
Waandamanaji hao wanataka tume ya uchaguzi nchini Kenya kufanyiwa mabadiliko.
Ghasia hizo zinashuhudiwa licha ya mkuu wa polisi katika mji wa Kisumu kuwaonya watu na kuwataka wazishiriki maandamano hayo.
Ripoti ambazo hazijathibtishwa zinasema kuwa mtu mmoja ameuawa wakati wa maandamano ya mji wa Kisumu.
Chanzo bbc.
BOFYA PICHA HAPA CHINI UONE PICHA ZA UCHI BONGO HASA USWAZI
Chapisha Maoni