Featured

Hatari hii Paris yakumbwa na Mafuriko


  • Dakika 30 zilizopita
Mafuriko nchini Ufaransa 
 
Mto Seine ulioko mjini Paris, Ufaransa, umejaa na kufikia kima cha juu zaidi kuwahi kutokea kwa zaidi ya miaka 30 iliyopita.

Maji yamefurika hadi kwenye barabara na kulazimisha makazi kadhaa na maeneo ya makaburi kufungwa.
Waziri wa Mazingira, Segolene Royale, amewaonya watu kukaa katika hali ya tahadhari wakati huu ambapo Mto Seine unazidi kupanda.
Amesema kuwa ingawa kima cha maji katikati mwa jiji la Paris kinazidi kupunguka lakini kutoweka kwa maji kutafichua madhara mengi zaidi.
Watu walioadhirika na mafuriko Paris
Katika eneo la makavazi la Louvre, wafanyakazi wamekuwa waking'ang'ana kuokoa vifaa mbalimbali vya zamani kuhakikisha kuwa haviharibiwi na maji.

Wamekuwa wakishughulikia zaidi ya vitu 250,000 vya thaamani.
Inakisiwa kuwa karibu watu 15 wamefariki kutokana na mafuriko katika mataifa manne ya Ulaya, wengi wao wakiwa kutoka Ujerumani.

Chanzo BBC BOFYA PICHA HAPA CHINI UONE PICHA ZA UCHI BONGO HASA USWAZI
DON'T FORGET TO LIKE THE PAGE IN ORDER TO GET NEWS UPDATES HAPPEN AROUND THE WORLD

Chapisha Maoni

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright 2025 MATMEDIA.COM | Designed By Code Nirvana Published.. Blogger Templates
Back To Top