Featured

Mtuhumiwa kesi ya Mwangosi akana Ungamo Lake Mahakamani

Mtuhumiwa wa mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Chanel Ten mkoani hapa, Daudi Mwangosi, Pacificus Simoni ametoa ushahidi wake mbele ya mahakama na kuieleza kuwa alilazimishwa kusaini ungamo mbele ya mlinzi wa amani bila kujua...

Mabaki ya EgyptAir yapatikana

Mabaki ya ndege ya EgyptAir yapatikana Mamlaka ya Misri inasema mabaki ya ndege ya EgyptAir ambayo ilianguka katika bahari ya Mediteranian mwezi...

Hakika baada ya MUNGU ni .......tazama hii Roboti kupokea wageni hospitalini Ubelgiji

Saa 4 zilizopita Pepper    Roboti kwa jina Pepper, iliyotengenezwa kuelewa hisia za watu inatarajiwa kuanza kazi mpya kama karani wa mapokezi katika hospitali mbili nchini Ubelgij...

Tazama picha ya wapenzi wa JINSIA MOJA baada ya wenzao kuuwawa katika shambulio la Orlando

Dunia imekwisha Usisahau kumshirikisha mwenzio kwa ku SHARE na ku LIKE iliuendelee kupata habari za mahali popote na Dunia kwa ujumla. Na Mathayo Mapal...

Muhubiri anayetaka wapenzi wa jinsia moja kuuawa aondoka Australia

Saa moja iliyopita Sekaleshfar   Muhubiri mmoja wa kiislamu ambaye alisema kwamba wapenzi wa jinsia moja wanafaa kuuawa ameondoka nchini Australia. Kiongozi huyo ambaye ni mzaliwa wa Uingereza...

Obama amshtumu Trump kuhusu kuwazuia Waislamu

Dakika 13 zilizopita Rais wa Marekani, Barack Obama   Rais wa Marekani, Barack Obama, ameshtumu vikali matamshi ya mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Republican, Donald Trump, kwamba waislamu wasiruhusiwe kuingia Marekani....

Simanzi ya tanda.... Orlando

Saa moja iliyopita   Mkesha Orlando    Mkesha umefanyika huko Orlando mjini Florida pamoja na maeneo tofauti duniani ili kuwakumbuka waathiriwa wa shambulio katika kilabu moja...

Matamshi ya chuki: Wabunge 6 wakamatwa Kenya

Dakika 23 zilizopita Bunge la Kenya    Wabunge sita nchini Kenya wanatarajiwa kuwasilishwa mahakamani kufuatia madai ya kutoa matamshi ya chuk...

Malecela Aendelea Kuijadili Serikali ya Magufuli...

Waziri Mkuu mstaafu, John Malecela amesema Serikali ya Rais John Magufuli imeanza vizuri mikakati yake na imejengwa katika misingi ya kila kiongozi kuwa na wajibu wa kumhudumia Mtanzan...

Tundu Lissu na Mhariri wa Mawio kizimbani Leo Kwa Uchochezi

Serikali itawafikisha Mahakama ya Kisutu leo, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na mmiliki wa gazeti lililofungiwa la Mawio, Simon Mkina kwa kuandika habari za uchoche...

Rais Obama afunguka mauaji ya Orlando

Dakika Chache zilizopita Rais Obama amesema Mateen hakushawishiwa kutoka nje Rais wa Marekani, Barack Obama amesema...

'Waislamu hawafai kuingia Marekani' -Trump

.Saa 6 zilizopita Mgombea wa kiti cha urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump Mgombea wa kiti cha urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump, amesema mauaji ya watu 50 katika...

Hatari sana Tazama picha 12 za shambulio la mauaji ya huko Orlando Marekani......

...

Godbless Lema Amnyooshea Kidole Mwigulu Nchemba

     Mwigulu Nchemba WAKATI  Rais Dk. John Magufuli akitarajiwa kumwapisha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, Ikulu, Dar es Salaam leo, Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) amemnyooshea...

Inasikitisha hii mpaka Rais Obama alaani mauaji ya Orlando

Saa 4 zilizopita Rais wa Marekani,Barack Obama amelaani mauaji yaliyotokea Orlando    Rais wa Marekani,Barack Obama amesema shambulio la risasi katika Klabu ya usiku mjini Orlando ni...

Wanafunzi wapata kazi ona hii........

Wanafunzi Wafundishana Wenyewe Shule ya Kwedichocho Handeni Baada ya Walimu Kuacha Kazi. Wakazi wa kijiji cha Manga kilichopo kata ya Mkata wilayani Handeni wameiomba serikali kuingilia kati kufuatia walimu wawili wa shule ya msingi...

Hatari hii Basi la Mwendokasi Laua Mlemavu Kariakoo

Mlemavu wa viungo amegongwa na basi la mwendokasi na kufa papo hapo usiku huu, eneo la Kariako...

Hawara wa Mfanyakazi wa ndani Atiwa Mbaroni Akihusishwa na Mauaji ya Aneth Msuya ( Dada wa Bilionea Msuya )

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watu wengine wawili, akiwamo mpenzi wa mfanyakazi wa ndani wa Aneth Msuya, aliyeuawa kwa kuchinjwa nyumbani kwak...

Zitto Kabwe Awachokonoa Wabunge Wenzake..Ataka Posho zao Zikatwe Kodi

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amewachokoza tena wabunge baada ya kuitaka Serikali kuanza kukata kodi katika posho za wawakilishi hao ili kuongeza wigo wa mapat...

Hii sifa sasa......Mwanamuziki Young Killer Nae Kusaini WCB? Hili Ndio Jibu Lake

Hivi karibuni kulizuka tetesi kuwa huenda Young Killer akawa msanii mwingine atakayeungana na timu ya W...

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Hawa Ghasia Akataa Wabunge Kukatwa Kodi Katika Kiinua Mgongo

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti Hawa Ghasia amedai kuwa kuwakata kodi kwenye viinua mgongo ni kuwakata kodi mara mbili kwa kuwa wanakatwa kodi tayari kwenye mishahara yao na ametakaserikali...

Uhuru autaka upinzani katika mazungumzo

Dakika 8 zilizopita Rais Uhuru Kenyatta    Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesisitiza kuwa serikali haitaruhusu maandamano ya ghasia akitaja yale yanayofanywa na chama cha Upinzani Cord...

Makamu wa rais wa Maldives jela miaka 15

Saa moja iliyopita Adeed apatikana na hatia ya kupanga njama ya kumuua rais wa nchi hiyo.    Aliyekuwa makamu wa rais wa Maldives, amehukumiwa kifungo cha miaka kumi na mitano gerezani,...
Wasichana 500 wa Tanzania wanatumika Asia Dakika 58 zilizopita Wasichana 500 wa Tanzania wanatumika Asia    Serikali ya Tanzania imesema zaidi ya wasichana 500 raia wa nchi hiyo wanatumikishwa ...

Vijana, Wadau Kumchangia aliyemtukana Rais Magufuli

Vijana, wadau na wanaharakati wamefungua vikundi vya mtandao wa kijamii kwa ajili ya kuchanga fedha za kumsaidia kijana wa Arusha aliyepatikana na hatia ya kumtukana Rais na kuhukumiwa faini ya Sh7 milioni au kifung...

Maandamano yashuhudiwa Kenya

Saa 2 zilizopita    Mtu mmoja anaripotiwa kuuawa Kisumu    Waandamanaji wa upinzani nchini Kenya wamefunga barabara kwa kuchoma magurudumu katika mji wa Kisumu ulio magharibi...

Rais wa Somalia azuru kambi ya wakimbizi Daadab

Dakika 47 zilizopita Rais wa Somalia azuru kambi ya wakimbizi Daadab    ...

Tanzania Imetolewa na Misri Michuano ya AFCON 2017

June 4 2016 ilikuwa ni siku ambayo timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars itacheza mchezo wake wa tatu wa Kundi G wa kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika 2017 AFCON, kwa kucheza na timu ya taifa ya Misri The Pharaos uwanja wa...

Makubwa haya Waliotimuliwa Udom Waibuka, Watoa ya Moyoni

Jana wawakilishi wa wanafunzi hao ambao waliambatana na viongozi wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), walisema wanapinga pia hatua ya kutimuliwa chuoni. Dar/Dodoma. Sakata Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) limezidi kupanuka baada ya...

Pigania Ndoa Yako Si Michepuko ya Mumeo..

NIMEIKUTA MAHALI NIKAONA NI VIZURI KU-SHARE Kuna dada mmoja nikikuwa namfahamu miaka mingi sana. Kama miama 15. Kipindi hicho tukiwa ni wasichana wa miaka 25. Dada huyo ghafla akawa na mahusiano na mume wa dada yangu. Nilimchukia sana....

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Ya Nchi , Hamad Yussuf Masauni Alalamikiwa na Wabunge Kwa Kutoa Majibu ya Dharau na Kiburi Kwa Wabunge

SIKU chache baada ya Rais John Magufuli kutengua uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga kutokana na ulevi, Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Hamad Yussuf Masauni, ameshtakiwa kwa uongozi wa Bunge akidaiwa kutoa majibu...

Hatari hii Paris yakumbwa na Mafuriko

Dakika 30 zilizopita Mafuriko nchini Ufaransa    Mto Seine ulioko mjini Paris, Ufaransa, umejaa na kufikia kima cha juu zaidi kuwahi kutokea kwa zaidi ya miaka 30 iliyopita. Maji yamefurika...

Mohammed Ali Afariki

Dakika 13 zilizopita   Mohamed Ali    Aliyeluwa bondia wa kwanza maarufu mweney asili ya Kiafrika, Mohammed Ali, wa Marekani amefariki leo asubuhi akiwa na umri wa miaka 7...

Taarifa toka Ikulu kuhusu uteuzi Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TANESCO

TAARIFA KWA UMMA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Dkt. Alex L. Kyaruzi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESC...
Newer Posts Older Posts
© Copyright 2025 MATMEDIA.COM | Designed By Code Nirvana Published.. Blogger Templates
Back To Top