
Wanajeshi wa Sudan Kusini
Taifa la Sudan
Kusini limewaua wanajeshi wake 2 kwa kuwapiga risasi baada ya kupatikana
na hatia ya kuwauwa wanandoa wawili ikiwa ni kisa cha kwanza cha mauaji
kulingana na vyombo vya habari.
Wanajeshi hao walipigwa risasi mbele ya gwaride la kijeshi katika mji wa Wau Kaskazini Magharibi,huku wakaazi na familia za wanajeshi hao zikikongamana katika eneo hilo kuona mauaji hayo.
Mahakama ya kijeshi iliwapata na hatia wanajeshi Meja Atian Deng na Matem Ariic Mayom,kufuatia kukamatwa kwao mnamo mwezi Julai tarehe 17 katika eneo moja la wakaazi la Wau.
Chanzo BBC
BOFYA PICHA HAPA CHINI UONE PICHA ZA UCHI BONGO HASA USWAZI
Chapisha Maoni