Bw Malik amesema angependa sana kukutana na Bw Trump
Nduguye wa kambo wa
Rais wa Marekani Barack Obama, Malik, ametangaza kwamba atampigia kura
mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani...
Home » Archives for Julai 2016
Sudan Kusini yawaua wanajeshi wake 2

Wanajeshi wa Sudan Kusini
Taifa la Sudan
Kusini limewaua wanajeshi wake 2 kwa kuwapiga risasi baada ya kupatikana
na hatia ya kuwauwa wanandoa wawili ikiwa ni kisa cha kwanza cha mauaji
kulingana...
Kiongozi wa Democratic nchini Marekani kujiuzulu

Bw Sanders alimtaka Bi Wasserman Schultz
Kiongozi wa Chama
cha Democratic nchini Marekani amesema atajiuzulu baada ya barua pepe
zilizofichuliwa na kuchapishwa na mtandao wa WikiLeaks...
Germany machete attack: Syria migrant 'kills woman'

The incident happened on a street in the centre of Reutlingen
A machete attack by
a Syrian asylum-seeker has left one woman dead and two other people
injured, police in south-western Germany sa...