Saa 2 zilizopita
Messi anatarajiwa mahakamani siku ya Alhamis.
Mahakama kuu ya Uhispania imeanza kusikiza kesi ya tuhuma za kukwepa kulipa kodi dhidi ya mchezaji nyota duniani Lionel...
Home » Archives for Mei 2016
Sudan yawafukuza raia 442 wa Eritrea

Saa 4 zilizopita
Omar el Bashir
Serikali ya Sudan
imewafurusha takriban raia 442 wa Eritrea ikiwemo wakimbizi sita
waliosajiliwa kurudi nchini mwao mwezi huu kulingana na kundi...
Makubwa haya Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) Profesa Tunus Mgaya Aliyesimamishwa Kazi na Waziri wa Elimu Afunguka Mambo Mazito

ALIYEKUWA Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu (TCU), Profesa Tunus
Mgaya amesema amesikitishwa na taarifa zilizoandikwa katika vyombo vya
habari za kukosoa maamuzi ya serikali ya kuwasimamisha kazi kuwa
hayakuzingatia sheria na kanuni...
Mke wa Trafiki Kinyogori Adaiwa Kukiri Kumuua Mumewe

MKE wa askari polisi wa kikosi cha usalama barabarani (trafiki), Sajenti
Ally Salum (Kinyogori) aliyeuawa hivi karibuni, inadaiwa amekiri
kuhusika kwenye mauaji hayo, akidai ilitokana na mumewe kumuacha na kuoa
mke mwingi...
Mashambulizi ya kujitoa mhanga yaua 20 Iraq

Saa 3 zilizopita
Wanamgambo wa
IslAmic state wameendesha misururu ya mashambulizi ya mabomu ya kutegwa
ndani ya magari ndani na nje mwa mji mkuu Baghdad ambayo yamesababisha
vifo vya takriban watu 2...
Harmonize hatari nyingine WCB Kaamua Amwimbie Mpenzi wake Wolper

Penzi la Harmonize na Wolper lnazidi pamba moto hadi imefikia mpaka
Harmonize kumtambulisha Wolper kwa mama yake mzazi. Harmonize
alimtambulisha Wolper kwa mama yake mzazi akiwa katika show yake huko
Mtwar...
Hii ni EXCLUSIVE: Aunty Ezekiel Kaelezea Siku Mose Iyobo Alipohisi Mtoto Sio Wake

Mwigizaji Aunty Ezekiel amekaa kwenye Exclusive ya AyoTV na kuelezea
vitu kadhaa kwenye mapenzi yake na Dancer wa Diamond Platnumz Mose
Iyobo ambapo miongoni mwa alivyoongelea ni pamoja na siku ambayo Mose
alihisi ujauzito aliokua...
Couple flee Iran to Dubai after intense crackdown on models posting 'un-Islamic' photos

A married couple managed to escape prosecution after they
were caught up in Iran's crackdown on models posting 'un-Islamic' photos
online. Professional MUA/model Elnaz Golrokh and her model husband, Hamid Fadaei
fled the Islamic Republic...