Home » Archives for Juni 2016
Kamanda Sirro: Bado Tunamtafuta Sana Askofu Gwajima, Tumetumia Polisi wa Kimataifa ila Bado, Wananchi Tusaidieni
Amesema walipokea barua kutoka kwa wakii wake lakini wao hawafanyi kazi kwa taarifa hizo, amewataka waandishi wa habari na wananchi wasaidie kupatikana kwake..
Mabaki ya EgyptAir yapatikana
Mamlaka ya Misri
inasema mabaki ya ndege ya EgyptAir ambayo ilianguka katika bahari ya
Mediteranian mwezi uliopita ikiwa imebeba abiria sitini na sita yameweza
kubainika yalipo.
Hakika baada ya MUNGU ni .......tazama hii Roboti kupokea wageni hospitalini Ubelgiji
Roboti kwa jina
Pepper, iliyotengenezwa kuelewa hisia za watu inatarajiwa kuanza kazi
mpya kama karani wa mapokezi katika hospitali mbili nchini Ubelgiji.
Tazama picha ya wapenzi wa JINSIA MOJA baada ya wenzao kuuwawa katika shambulio la Orlando
Dunia imekwisha Usisahau kumshirikisha mwenzio kwa ku SHARE na ku LIKE iliuendelee kupata habari za mahali popote na Dunia kwa ujumla.
Na Mathayo Mapalilo
Muhubiri anayetaka wapenzi wa jinsia moja kuuawa aondoka Australia
Muhubiri mmoja wa kiislamu ambaye alisema kwamba wapenzi wa jinsia moja wanafaa kuuawa ameondoka nchini Australia.
Kiongozi
huyo ambaye ni mzaliwa wa Uingereza Farrokh Sekaleshfar alikuwa mwalimu
katika shule moja karibu na Orlando ,Florida mnamo mwezi Aprili an
alinukuliwa akitoa matamshi hayo siku moja kabla ya shambulio la
Orlando.Alikuwa amezuru Australia kama mgeni wa Imam Hussein wa kituo cha kiislamu cha Sidney.
Vyombo vya habari viliripoti siku ya Jumatano kwamba Sheikh Sekaleshfar aliondoka nchini humo baada ya waziri mkuu Malcom Turnbull kutaka visa yake ichunguzwe.
Lakini bw Dutton ametetea idara yake dhidi ya madai kwamba visa ya kiongozi huyo wa dini haifai kuidhinishwa.
Chanzo BBC
Obama amshtumu Trump kuhusu kuwazuia Waislamu
Rais wa Marekani,
Barack Obama, ameshtumu vikali matamshi ya mgombea urais kwa tiketi ya
chama cha Republican, Donald Trump, kwamba waislamu wasiruhusiwe kuingia
Marekani. Obama amesema hiyo 'si marekani wanayohitaji.'
Simanzi ya tanda.... Orlando
Mkesha Orlando
Mkesha umefanyika
huko Orlando mjini Florida pamoja na maeneo tofauti duniani ili
kuwakumbuka waathiriwa wa shambulio katika kilabu moja ya usiku ya
wapenzi wa jinsia moja.
Matamshi ya chuki: Wabunge 6 wakamatwa Kenya
Wabunge sita nchini Kenya wanatarajiwa kuwasilishwa mahakamani kufuatia madai ya kutoa matamshi ya chuki.
Malecela Aendelea Kuijadili Serikali ya Magufuli...
Rais Obama afunguka mauaji ya Orlando
Rais wa Marekani,
Barack Obama amesema hakuna ushahidi kuwa aliyetekeleza mashambulizi
kwenye klabu ya usiku mjini Orlando alikuwa sehemu ya mpango mkubwa wa
mashambulizi.
Obama ameeleza shambulio hilo lilisukumwa na msimamo
binafsi wa mshambuliaji huyo na hakuna ushahidi kuwa Omar Mateen
alipata maelekezo kutoka nje kutekeleza mauaji.'Waislamu hawafai kuingia Marekani' -Trump
.Saa 6 zilizopita
Mgombea wa kiti cha
urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump
Mgombea wa kiti cha
urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump, amesema
mauaji ya watu 50 katika baa moja ya wapenzi wa jinsia moja huko Orlando
inathibitisha msimamo wake kwamba waislamu wapigwe marufuku kukanyaga
ardhi ya Marekani.
Godbless Lema Amnyooshea Kidole Mwigulu Nchemba
WAKATI Rais Dk. John Magufuli akitarajiwa kumwapisha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, Ikulu, Dar es Salaam leo, Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) amemnyooshea kidole waziri huyo.
Inasikitisha hii mpaka Rais Obama alaani mauaji ya Orlando
Rais wa
Marekani,Barack Obama amesema shambulio la risasi katika Klabu ya usiku
mjini Orlando ni la kigaidi na ni kitendo cha chuki
Takriban watu
50 wamepoteza maisha na wengine 53 wamejeruhiwa siku ya Jumapili, baada
ya mtu mmoja aliyekuwa na silaha kufyatulia risasi Klabu moja ya usiku
iliyokuwa ikiwakutanisha watu wa mapenzi ya jinsia moja mjini Orlando
nchini Marekani.Wanafunzi wapata kazi ona hii........
Wanafunzi Wafundishana Wenyewe Shule ya Kwedichocho Handeni Baada ya Walimu Kuacha Kazi.
Wakazi
wa kijiji cha Manga kilichopo kata ya Mkata wilayani Handeni wameiomba
serikali kuingilia kati kufuatia walimu wawili wa shule ya msingi
Kwedichocho kuacha kazi tangu mwishoni mwa jana na kuwaacha wanafunzi
wakifundishwa na wanafunzi wenzao wawili wa darasa la saba kufuatia
vitongoji vyao pamoja na shule kuuzwa kwa mwekezaji ikidaiwa kuwa ipo
maeneo katika kijiji kingine kinachojulikana kwa jina la Mazingara.
Hawara wa Mfanyakazi wa ndani Atiwa Mbaroni Akihusishwa na Mauaji ya Aneth Msuya ( Dada wa Bilionea Msuya )
Zitto Kabwe Awachokonoa Wabunge Wenzake..Ataka Posho zao Zikatwe Kodi
Hii sifa sasa......Mwanamuziki Young Killer Nae Kusaini WCB? Hili Ndio Jibu Lake
Uhuru autaka upinzani katika mazungumzo
Rais wa Kenya Uhuru
Kenyatta amesisitiza kuwa serikali haitaruhusu maandamano ya ghasia
akitaja yale yanayofanywa na chama cha Upinzani Cord ambayo yamegeuka na
kuwa maandamano na maafisa wa polisi.
Makamu wa rais wa Maldives jela miaka 15
Aliyekuwa makamu wa
rais wa Maldives, amehukumiwa kifungo cha miaka kumi na mitano
gerezani, baada ya kupatikana na hatia ya kupanga njama ya kumuua rais
wa nchi hiyo.
Wasichana 500 wa Tanzania wanatumika Asia
- Dakika 58 zilizopita
Serikali ya
Tanzania imesema zaidi ya wasichana 500 raia wa nchi hiyo wanatumikishwa
katika kazi hatari zikiwemo za ukahaba katika nchi za Asia na Uarabuni.
Vijana, Wadau Kumchangia aliyemtukana Rais Magufuli
Maandamano yashuhudiwa Kenya
Mtu mmoja anaripotiwa kuuawa Kisumu
Waandamanaji wa
upinzani nchini Kenya wamefunga barabara kwa kuchoma magurudumu katika
mji wa Kisumu ulio magharibi mwa nchi hiyo.
Rais wa Somalia azuru kambi ya wakimbizi Daadab
Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamoud amewasili katika kambi ya wakimbizi ya Daadab ambayo iko Kaskazini Mashariki mwa Kenya.
Tanzania Imetolewa na Misri Michuano ya AFCON 2017
June 4 2016 ilikuwa ni siku ambayo timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars itacheza mchezo wake wa tatu wa Kundi G wa kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika 2017 AFCON, kwa kucheza na timu ya taifa ya Misri The Pharaos uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Huu ni mchezo ambao Taifa Stars alikuwa anahitaji ushindi wa aina yoyote ile.
Makubwa haya Waliotimuliwa Udom Waibuka, Watoa ya Moyoni
Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), walisema wanapinga pia hatua ya kutimuliwa chuoni.
Dar/Dodoma. Sakata Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) limezidi kupanuka baada ya wanafunzi waliorudishwa nyumbani kupinga kuitwa vilaza.
Pigania Ndoa Yako Si Michepuko ya Mumeo..
Kuna dada mmoja nikikuwa namfahamu miaka mingi sana. Kama miama 15. Kipindi hicho tukiwa ni wasichana wa miaka 25. Dada huyo ghafla akawa na mahusiano na mume wa dada yangu. Nilimchukia sana. Dada yangu alimchukia sana. Wote tulimchukia. Alikuwa mlevi. Malaya na anayependa kuvaa uchi. Hakuwa anajijali hata kidogo.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Ya Nchi , Hamad Yussuf Masauni Alalamikiwa na Wabunge Kwa Kutoa Majibu ya Dharau na Kiburi Kwa Wabunge
SIKU chache baada ya Rais John Magufuli kutengua uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga kutokana na ulevi, Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Hamad Yussuf Masauni, ameshtakiwa kwa uongozi wa Bunge akidaiwa kutoa majibu ya dharau bungeni.
Hatari hii Paris yakumbwa na Mafuriko
Mto Seine ulioko mjini Paris, Ufaransa, umejaa na kufikia kima cha juu zaidi kuwahi kutokea kwa zaidi ya miaka 30 iliyopita.
Waziri wa Mazingira, Segolene Royale, amewaonya watu kukaa katika hali ya tahadhari wakati huu ambapo Mto Seine unazidi kupanda.
Amesema kuwa ingawa kima cha maji katikati mwa jiji la Paris kinazidi kupunguka lakini kutoweka kwa maji kutafichua madhara mengi zaidi.
Mohammed Ali Afariki
Mohamed Ali
Aliyeluwa bondia wa
kwanza maarufu mweney asili ya Kiafrika, Mohammed Ali, wa Marekani
amefariki leo asubuhi akiwa na umri wa miaka 74.





























